Wewe Ni Mwema

by Israel

Naja mbele zako Mungu wangu (I come before You, my God) Nikiwa nazo heshima zote (Bringing all the honor) Ninakiri yale uyatendayo (I confess that in all You do) Hakika wewe ni mwema (Truly You are Good) Wewe ni mwema, haufananishwi (You are Good, You cannot be compared) Wewe ni mwema, Baba (Father You are Good)